Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Wadau natafuta Suzuku swift ambayo ni :car:manual; pia naomba kuua bei za hayo magari huko kwenye hizo yard Dar?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
natafuta suzuki swift au duet. kwa yeyote anayeuza nijulishe.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
habari wanajf .naomba mnisaidie nimejaribu kuuplord picture inashindikana .kila nikijaribu haiwezekani.naomba msaada wenu .nijinsi ngani ya kufanya??
0 Reactions
1 Replies
704 Views
Jamani wanajamvi natafuta mtu ambae ameshawahi kufanya biashara ya export&inport kati ya tanzania na sweden. Kuna jambo nahitaji kusaidiwa.
0 Reactions
0 Replies
920 Views
Nyumba inapangishwa eneo la kiloleli mwanza ina vyiumba vitano viwili ni self. Ina jiko moja cpublic toilet,uzio, sitng rom moja..karibun watu wa mwanza pm kama utaihitaji.Thanx
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Its doneeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
0 Reactions
0 Replies
897 Views
Natengeneza- 1.Shampoo za aloevera,karoti,mayai(ya kuku wa kienyeji),apple na ukwaju. 2.Dawa za usafi chooni,kufulia,kuoshea vyombo,sabuni ya kuoshea vioo vya magari 3.Jam ya...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
habari wakuu nauza subwoofer ndogo aina ya SINSAN ina vispika vidogo vinne. Haina redio wala sehemu ya kuweka usb . bei elfu 40 0786404808 0715404808 8
0 Reactions
0 Replies
2K Views
jamani naitaji betri ya simu aina BL 4U mwenye kunisadia na bei yake ni shilingi ngapi naiitaji moja please
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Radio nyingi za zamani hazina uwezo wa kutumia USB card,kama una hitaji kuifanya radio yako itumie USB card hata kama ni radio ya mkulima ni PM,tunafunga usb card driver katika radio yoyote ili...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
gari inauzwa location ; ARUSHA imetembea km 80000 tu ipo kwenye hali nzuri kwa maelezo zaidi piga 0712860006
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MODEL: RANGE ROVER,Diesel engine. Engine model: BMW CAPACITY CC2500 KM 125385 Contact: 0715550330 NB: iko kwenye hali nzuri inatembea na pia ina heavy sound system ]
0 Reactions
27 Replies
8K Views
Kwa anaehitaji simu kali yenye miziki 1740 na ipo katka hali nzuri sana kwa Tshillings 400,000.00 tuu. Namba hiz kwa anaehitaji 0716 703107 Dsm ndo mtaaa.
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Ndugu kamata hii fursa ya Perfect internet cash program. Unajua jinsi gani ya kutengeneza extra pesa kupitia internet unayotumia ??. PERFECT INTERNET ni kampuni makazi yake yako marekani wanatoa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Toyota Hilux Double Cabin ya 2003 inauzwa, Manual Gearbox, Engine 2.8cc, Air Condition, Ipo kwenye Condition Nzuri. Bei 18million, Gari ipo maeneo ya Ilala, kwa mawasiliano zaidi, Call 0712 220408...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
habarini wadau? niwapi kwa pale kariakoo naweza pata used photocopy machine nzuri na kwa bei nafuu kuanzia laki 7 hivi
0 Reactions
0 Replies
933 Views
Samsung phone for sale.new. Serious calls only.I need money urgently.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
nauza computer aina ya samsung.Ram 2GB,processor 1.5GHZ.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
KABYEX ENGINEERING AND BUILDING PLANNERS TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO 1. RAMANI ZA NYUMBA Nyumba ya kawaida 180000/= Nyumba ya ghorofa 250000/= 2. MAKADILIO YA GHARAMA Nyumba ya...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Nzuri sana. Manual IHDT diesel 4200cc, 29 passengers, 1992 model, 200,000km price 28m negotiable. Contact Owner 0784298218.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom