Nissan navara very cheap.

Nissan navara very cheap.

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
Habari wanajanvi wenzamgu nauza Nissan navara

Year 2005
Speed-220
Fuel consuption km11/litre
Gear-6
4wd
Km-76253
4cylinder
Turbo
Na ni INTERCOLIN SYSTEM,
Sababu ya kuiuza tuna gari nyingine,, haijawi kuguswa engine wala kupata mzinga,
price 26 mil
Phone-0758275988

Kama uko interest call me,, kwa wale first year wanaopenda kuaribu biashara Za watu plz huku sio facebook, huku ni kwawatu wenye hekima zao, karibu
 
Attachments

  • IMG-20131116-WA002.jpg
    IMG-20131116-WA002.jpg
    63.3 KB · Views: 340
  • IMG-20131116-WA012.jpg
    IMG-20131116-WA012.jpg
    68.3 KB · Views: 348
  • IMG-20131116-WA005.jpg
    IMG-20131116-WA005.jpg
    51.2 KB · Views: 322
  • IMG-20131116-WA007.jpg
    IMG-20131116-WA007.jpg
    59.6 KB · Views: 338
  • IMG-20131116-WA010.jpg
    IMG-20131116-WA010.jpg
    60.9 KB · Views: 401
  • IMG-20131116-WA015.jpg
    IMG-20131116-WA015.jpg
    49 KB · Views: 358
  • IMG-20131116-WA014.jpg
    IMG-20131116-WA014.jpg
    56.1 KB · Views: 354
  • IMG-20131116-WA004.jpg
    IMG-20131116-WA004.jpg
    41.4 KB · Views: 420
IAya mambo ndo waga tunayapinga, mnaaribu biashara za watu
 
lukosi ya kwake alisema alishaipata kulekule landani, japo alitutuhumu watz kwamba tumemwibia navara yake.
 
Habari wanajanvi wenzamgu nauza Nissan navara
Speed-220
Gear-6
4wd
Km-76253
4cylinder
Turbo
Na ni INTERCOLIN SYSTEM
location mwanza,
Sababu ya kuiuza tuna gari nyingine,, haijawi kuguswa engine wala kupata mzinga,
price 26 mil
Phone-0758275988

Kama uko interest call me,, kwa wale first year wanaopenda kuaribu biashara Za watu plz huku sio facebook, huku ni kwawatu wenye hekima zao, karibu
Dah kitu mannual,huo ndo ugonjwa wangu,i see gari kali sana,sema hela tu
 
Mkuu kwakweli hilo gari ni very cheap dah aisee natamani ningenunua nilete huku nipige hata m40. Jamani wenye cash gari poa sana hiyo
 
IAya mambo ndo waga tunayapinga, mnaaribu biashara za watu

Mkuu hatuaribiani biashara,bali ni muhimu pia kutowaingiza king member wengine,nimestuka inauzwa bei rahisi nkajua ya chris Lukosi! Tupo Pamoja
 
lukosi ya kwake alisema alishaipata kulekule landani, japo alitutuhumu watz kwamba tumemwibia navara yake.

umeona ee, chriss Lukosi tena alisema kuna mtu anamhisi kwa asilimia nyingi, lakini alivyoipata hakutuambia kama ni yuleyule aliyemhisi au ni mwingine!!!
 
Last edited by a moderator:
lukosi ya kwake alisema alishaipata kulekule landani, japo alitutuhumu watz kwamba tumemwibia navara yake.

umeona ee, chriss Lukosi tena alisema kuna mtu anamhisi kwa asilimia nyingi, lakini alivyoipata hakutuambia kama ni yuleyule aliyemhisi au ni mwingine!!!
 
Last edited by a moderator:
IAya mambo ndo waga tunayapinga, mnaaribu biashara za watu

Hahahaa, usimind mkuu, King Kong III anatania tu, kuna kada mmoja wa chama anaitwa Chris Lukosi aliibiwa navara yeke uk akaanza kulia watanzania wamemwibia, baadaye akaja kuipata hukohuko uk kumbe naskia alilewa changudoa wakamsachi wakaondoka nayo! BTW, gari imesimama vibaya mno, ningekuwa na cash tungekuwa tunaongea mambo mengine sasa hivi.
 
Habari wanajanvi wenzamgu nauza Nissan navara

Year 2005
Speed-220
Gear-6
4wd
Km-76253
4cylinder
Turbo
Na ni INTERCOLIN SYSTEM,
Sababu ya kuiuza tuna gari nyingine,, haijawi kuguswa engine wala kupata mzinga,
price 26 mil
Phone-0758275988

Kama uko interest call me,, kwa wale first year wanaopenda kuaribu biashara Za watu plz huku sio facebook, huku ni kwawatu wenye hekima zao, karibu

Itupie hapa kaka iuzike mapema https://www.facebook.com/groups/cardeals.tz/
maana inavozidi kukaa hapa mimi unantia midadi tu kaka, nsije nikaenda kuiba pesa buree!lol.:tonguez:
 
Kiongozi tangazo lako liko poa sana, bei nzuri, gari inaonekana iko fiti saana ila huo mkwanja kuupata ndo majanga
 
gari ni zuri na bei ni rahisi sana

wenye hela changamkieni fursa hiyo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom