Nissan Serena

Nissan Serena

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
868
Reaction score
530
Wajameni katika pitapita mitandaoni nimeiona nissan serena ya 2002,ki ukweli nimeipenda !!
Sasa wadau kwa mwenye uzoefu hizi gari tatizo lake kubwa ni nini?
 
Tatizo ni Nissan! Spea kichef chef
 
ndugu yangu upatikanaji wa spea za nissani ini majanga hivyo ningekushauri ungenunua toyota vitz, verossa au nyinginezo upendazo
Wajameni katika pitapita mitandaoni nimeiona nissan serena ya 2002,ki ukweli nimeipenda !!
Sasa wadau kwa mwenye uzoefu hizi gari tatizo lake kubwa ni nini?
 
Wajameni katika pitapita mitandaoni nimeiona nissan serena ya 2002,ki ukweli nimeipenda !!
Sasa wadau kwa mwenye uzoefu hizi gari tatizo lake kubwa ni nini?

We uantaka kuongeza majanga kwenye hili taifa achana nayo kabisa yaani siku za mwanzonutaifurahia sana na upya wake lakini huko uondeka na ukiishaichukua inakuwa ndoa katoliki ni mkataba ambao hutaweza kuachana nao labda umpe mtu bure maana ukitaka kuuza ni janga lingine.
Umefanya vyema sana kuuliza na pia gati nyingine yoyote unayotaka kununua fanya utafiti wa kutosha na pia ikiwa baadeae utata kubadili gari iwe rahisi hata kuuza uliyonayo kwa bei nzuri walau
 
Wajameni katika pitapita mitandaoni nimeiona nissan serena ya 2002,ki ukweli nimeipenda !!
Sasa wadau kwa mwenye uzoefu hizi gari tatizo lake kubwa ni nini?

Nimeshakua na nissan serena na xtrail, tatizo lake kubwa ni gear box. Zilinisumbua kweli, nikaziuzilia mbali, yani hata usijaribu mkuu
 
kweli kuishi nchi zetu sometimes unakosa vitu upendavyo dah, yani majuu hakunaga hiyo syndicate ya spea coz kila kampuni inakuwa na dealers kila state na wanashindana kuwa bora. Magari (sedan) kama Nissan, mitsubishi, fiat, ford, falcon, great wall, commodore, sidhani kama naeza yapata mengi huko kwetu.
Noma sana, anyway pole mkuu kwa kukosa upendacho kisa spea
 
yaani bongo ukiulizia gari tofauti na toyota utapata coment za kukukatisha tamaaa au iwe toyota lakini.model mpya utapewe kuwa injini kimeo hamna spear kk sijui kidongo chekundu,mchikichin etc . yaaani kweli tutaendelea kuendesha magari ya aina moja mpala lini? baada ya vits kujaa dar,sasa.mi ist zimejaa kk utafikiri hamna gari nyingine. kiufupi bongo watu wananunua gari bongo kwa kufata mkumbo.tubadilike
 
Kuna idea kuwa gari "itakufia" mawazo ya kizamani sana hayo! Gari unaeza kaa nayo hata miaka 20 hakuna haja ya kuuza, ukitaka new fashen si unanunua new model, hilo unagawia ndugu yako

Mi ntanunua brand niipendayo na siuzi pia spea zipo tu ukiingia kwenye mrandao
 
Mbona NISSAN watu wanatembelea hapa bongo?? we nunua tu usiogope, mimi nina SUBARU wananitisha kila siku lakin ndio gari ninayopenda
 
Back
Top Bottom