PROF MUDI DULA
Member
- Oct 29, 2012
- 86
- 4
MAHALI: Nje kidogo ya jiji la DSM. Mkoa wa Pwani, Vikindu kijiji cha Kazole. Ukitokea Kongowe unashuka Vikindu kisha unaenda upande wa kushoto ukiiacha barabara kuu, takribani km 1, hadi hapo kijiji cha Kazole.
BEI: Kiwanja chenye ukubwa wa mita 20 kwa 15, ambayo ni sawa na futi 60 kwa 45 ni sh milion 1.5.
HUDUMA ZA JAMII: Barabara ipo hadi Kijiji cha Kazole, maji yanapatikana, ila umeme ni takribani miezi miwili ijayo utaanza kutumika.
MAWASILIANO: +255653422776 au mudiduladula@yahoo.com. Ila ni vizuri zaidi utumie sms katika simu. Sms yako itajibiwa ndani ya dakika 5.
PENDEKEZO: Kazole ni kijiji kinachokuwa kwa kasi. Hivyo ni vizuri ukachukuwa kiwanja sasa kwa bei rahisi kama hio, kabla viwanja havijazidi bei.
NYONGEZA: Mambo yote yalioelezwa ni ya ukweli na uhakika na hakuna ubabaishaji.