Biashara ya kuuza maji ya kisima

Biashara ya kuuza maji ya kisima

BabaKasheshe

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2012
Posts
211
Reaction score
45
Salama wana jamvi? kwa wenye uzoefu na biashara ya kuuz maji ya kisima baada ya kuchima kisima , naomba kupata uzoefu/maelekezo ya vitu hivi; 1. Baada ya kuchima kuna gharama au/na kibali kinachotakiwa kupatikana kutoka serikalini?kama ni ndio je ni ofisi ghani inahusika? 2. Kuna utaratibu wa kupima maji katika laboratory/kitaalamu ?kama ndio ni wapi naweza pata huduma hii? Asanteni.
 
Vingine sijui ila ukitaka kupima maji, kuna ofisi za serikali pale chuo cha maji. Zipo Dar kama unatokea ubungo unaelekea chuo kikuu cha Dar unashukia stand inaitwa geti maji. Kushoto kwako utaona wameandika wana drill visima (dams ).
 
Nijuavyo,unatakiwa kupata mpimaji kwanza atakaekupimia na kukuambia maji kama yapo hapo na yapo umbali gani,atakupa report ambayo utampa mchimbaji,siku hizi kampuni nyingi za uchimbaji visima zina watu wa upimaji,wakisha chimba kisima ni lazima wakapime maji waliyoyapata kama yanafaa kwa matumizi ya binadamu na watakupa report pia ambayo itaonyesha madini yaliyomo na ph ya maji.Kuna kipindi nilisikia wizara ikisema watu wapate vibali vya uchimbaji visima,unaweza watafuta uone inakuwaje,hayo machache ambayo niliyapitia tulipochimba hapa kwetu.
 
Back
Top Bottom