Kiwanja kinauzwa msongola dar es salaam.

njechere

Member
Nov 7, 2013
14
0
kiwanja kinauzwa msongola dar es salaam. Kiwanja kipo sehemu nzuri.kutoka bara bara kubwa kwenda kwenye kiwanja ni nusu kilomita 1 kuna bara bara nzuri inayopitika kwa gari. Umeme upo karibuni kufika na kiwanja kipo kwenye mji unaozidi kujengeka vizur,kiwanja kina ukubwa wa urefu 40 na mapana futi 50 kinauzwa kwa bei ya ml 3: mawasiliano: 0656251874
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,491
2,000

Msongola ni wapi??
 
Shark

JF-Expert Member
Jan 25, 2010
27,491
2,000
Msongola ipo wilaya ya Ilala, mkoa wa Dar Es Salaam, kilometa chache kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti. Au kama unafahamu uwanja wa Azam ulipo ni rahisi kufika kwani ni njia hiyo hiyo.
Ni kabla au baada ya Azam Complex??

Na Vipimo ingawa conversion ni rahisi tu, but ungetusaidia sana kama ungeweka kwa mita!!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom