mbuyake
JF-Expert Member
- Feb 20, 2013
- 348
- 633
ndugu wana jf nilikuwa na mahitaji ya pump ndogo ya kumwagilia hvyo kATIKA PITAPITA ZANGU NIMEKUTA PUMPU AINA YA HONDA GX 120 na kipenyo cha inches kama tatu kwa laki nne ila ni used .swali langu je hii pump itaweza kuvuta maji kutoka mtoni penye height 20 na kusambaza shamba eka tano?