Printing at low cost

Spot_Revista

Member
Dec 12, 2013
10
0
We are a printing and marketing company in Dar Es Salaam, Tanzania. We do all types of printing at cheaper rate. We provide below services:

Business Card printing
Leaflets
Brochures
Stickers
Letterheads
Diaries printing
Calender printing
Company profiles
Document holding folders
Bulk SMS
Website designs
& Many more.....

If you have any printing requirements then do contact us on below:

SPOT Revista
P. O. Box 200
Dar Es Salaam | Tanzania
E-mail: marketing@spot.co.tz
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Apr 13, 2011
71,275
2,000
ulitakiwa uweke bei ili tufanye comparison za bei

Ingawa ni wazo zuri lakini sikubaliani nalo kwani biashara hizi ni za ushindani, sasa wakianika kila kitu inaweza ikala kwao.

Kama upo interested ni bora ukawaandikia au unaenda kwao mkae chini muongee kibiashara, hapa wanajitangaza tu.
 
rodrick alexander

JF-Expert Member
Feb 12, 2012
8,268
2,000
Ingawa ni wazo zuri lakini sikubaliani nalo kwani biashara hizi ni za ushindani, sasa wakianika kila kitu inaweza ikala kwao.

Kama upo interested ni bora ukawaandikia au unaenda kwao mkae chini muongee kibiashara, hapa wanajitangaza tu.
wao wamesema wanaprint kwa low cost walitakiwa kuweka bei zao kama wameweza kutoa tangazo kwanini wanashindwa kuweka bei hakuna kitu aghali wala rahisi uaghali wa kitu au urahisi wake unapatikana baada ya kulinganisha bei ya vitu vinavyofanana mfano mi naweza kusema nauza vitenge vya wax toka kongo kwa shilingi elfu 5 akatokea mwingine akasema anauza vitenge aina hiyohiyo na kutokea huko huko kwa shilingi elfu 8 hapo ndio itaonekana mimi bei yangu ni nafuu lakini anaweza akatokea mwingine akasema anauza vitenge wax toka Tanzania kwa bei ya shilingi elfu 3 hapi sitaangalia unafuu bali nitaangalia na ubora
 
Kwenye printing "Low cost" haimaanishi ni bei ndogo. Kuna factors nyingi za kufanya cost iwe low na si lazima iwe bei.

Ungeonana nao badala ya kubishana humu ndani. Kama unataka kubishana ungeenda ukabishana ofisini kwao, hapa kama unampigia mbuzi gita.
 
Spot_Revista

Member
Dec 12, 2013
10
0
Dear Rodrick,

This is a printing company and we cannot give the quotation without knowing your requirements.

As said by FaizaFoxy, it depends on lots of factors that includes paper quality, paper size, what exactly you want to print and quantity as well.

If you have specific requirements, email us the details at marketing@spot.co.tz and we will discuss further.

I should also thank FaizaFoxy who tried to explain how the pricing are done.

Best Regards,

SPOT Revista
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Kwenye printing "Low cost" haimaanishi ni bei ndogo. Kuna factors nyingi za kufanya cost iwe low na si lazima iwe bei.

Ungeonana nao badala ya kubishana humu ndani. Kama unataka kubishana ungeenda ukabishana ofisini kwao, hapa kama unampigia mbuzi gita.

Uwe unakuja na kule jukwaa la matangazo madogo madogo ungetusaidia sana wauzaji wa mashamba.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom