Nauza Kuku Chotara 45 kwa laki3 tu...

GreenHouse

JF-Expert Member
Oct 11, 2011
280
195
Nauza kuku Chotara wapatao 45 kwa bei ya kutupa kabisa Sh300,000/= Hii ni sawa na kama 6,600 kwa kila kuku... Kuku wana umri wa Miezi minne na nusu na baadhi miezi mitatu na nusu, wamechanjwa chanjo zote, wana afya nzuri kabisa, hawana ugonjwa wowote. NB: Majogoo ni mengi kuliko Matetea (japo sijawahesabu mmoja mmoja kujua Namba kamili ya Matetea na Majogoo).
Nauza wote kwa jumla kuclear stock ya kuku na kuingiza new breed.
Kuku wapo Kigamboni Dar Es Salaam.
Kwa mawasiliano piga simu namba 0714 881 500
Atakayenunua ntamletea mpaka alipo kokote Dar Es Salaam Bure kabisa.
IMAG0206.jpg IMAG0207.jpg IMAG0208.jpg IMAG0210.jpg
 

Attachments

  • IMAG0206.jpg
    File size
    88.6 KB
    Views
    97

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom