Natafuta GPS aina ya GARMIN

Natafuta GPS aina ya GARMIN

Tanganyika50

Member
Joined
Dec 8, 2011
Posts
97
Reaction score
19
Wadau salaam zenu.
Ninatafuta GPS aina ya GARMIN,Model Legend HCx,eTrex
Mwenye nayo anijibu au ani PM tafadhali.
Shukrani.
 
Ka uko dar nenda pale radiowave communication naonaga wamepiga bango kubwa la garmin
 
am not so sure, if it will work on your device but ninazo memory card ambazo zina GPS 'garmin' pia 'I GO' hebu jaribu kunicheki kwani nilinunua device moja ambayo nilipatiwa memory card hiyo but unfortunatly niligawa divice bado ninamemory card.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom