Nokia E-72 @ 220,000

Nokia E-72 @ 220,000

Nashukuru sana waungwana acha nibaki nayo ntampa hata mtu zawadi.
 
Hyo bei c ya android kabisa....lete 120 mi nikupe e72 zmejaa huku kwetu......cm yko ilikua nzut kipnd kile..ila nw haina ushindani ndo mana imeporomoka bei mkuu
 
Ila jaman sio kosa lake may be alinunua m city maana pale e72 375..!!
Bro hzo n laki nw zinauzwa kwa sisi wazee wa aggrey kkoo
 
mwenye e72 used ila ipo powa anitafute,bei isizidi laki.0659626782
 
Back
Top Bottom