Wadau nina chumba na sebule...nimepanga hivi karibun sijahamia bado lakin nimepata kazi zanzibar...so nahitaji mtu a kurudisha kodi yangu tu miezi 8 asaini mkataba mwenyewe
Wadau nina chumba na sebule...nimepanga hivi karibun sijahamia bado lakin nimepata kazi zanzibar...so nahitaji mtu a kurudisha kodi yangu tu miezi 8 asaini mkataba mwenyewe
nyumba ipo tandale yemen,,,,,,kituoni hapo hapo upande wa kushoto kama unatoka kkoo.....ina geti na ulinzi wa kutosha....maji yapo karibu...umeme...upo na luku ni ya kujitegemea,,,choo kipo nje lakin sio cha kushare wapangaji wengi ni wewe pekee yaka,,,kodi ni laki moja kwa mwezi.....nyumba ipo ktk hali nzuri. namba yangu ya simu ni 0658904648