King Mirambo
New Member
- Sep 12, 2013
- 2
- 0
Kiwanja kipo maeneo ya ILALA,BUNGONI-DAR ES SALAAM
kwa maelezo zaidi piga namba 0754585298,0713844899
:israel:

Hivi nasoma topic hii hii au tofautiAsante mkuu, ni vile tu sina hela ningekichukua mimi. Bei yako ni nzuri mno yaani kiwanja chenye ukubwa wa square metres 1200 kwa shilingi milioni mbili kwa kweli ni bei nzuri sawa na bure.
Atakae kichukua atafaidi sana, maana hayo maeneo ulivyoyaelezea ni mazuri mno kibiashara kutokana na population yake. Vp kuhusu title deeds ulisema itachukua muda gani vile kuibadilisha umiliki?
Hivi nasoma topic hii hii au tofauti
Maana natafuta hayo maelezo siyaoni? Halafu sqm 1200 kwa mil.2 Ilala Bungoni? Hahahaa. Huku ni kuibiwa si vinginevyo, labda muuzaji kaskia kiyama kitakuwa kesho.
Asante mkuu, ni vile tu sina hela ningekichukua mimi. Bei yako ni nzuri mno yaani kiwanja chenye ukubwa wa square metres 1200 kwa shilingi milioni mbili kwa kweli ni bei nzuri sawa na bure.

Hiyo bei umeiona wapi ?
Au through simu ?

Jamaa anamchokoza mtoa mada,maana hajatoa maelezo yeyote kwenye tangazo,sasa investa mara nyingi kama muuzaji hajatoa maelezo basi yeye anatoa maelezo kum-pump muuzaji atoe bei.