Natafuta cm bajeti yangu ni 200,000

Natafuta cm bajeti yangu ni 200,000

uzeebusara

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2013
Posts
657
Reaction score
514
Habari zenu waungwana!
Bajeti yangu ni laki 2 naweza pata cm nzuri. Mwenye cm nzuri kama vp Nokia e72, I phone 4 anipm apate pesa ya fasta. Note sitaki Huawei yyt Ile wala techno yyt Ile.
Nasubiri mwenye cm
 
ngoja aje mathematics kukusaidia hapa labda yeye anazo
ila nami naitaji sana kama wewe
Habari zenu waungwana!
Bajeti yangu ni laki 2 naweza pata cm nzuri. Mwenye cm nzuri kama vp Nokia e72, I phone 4 anipm apate pesa ya fasta. Note sitaki Huawei yyt Ile wala techno yyt Ile.
Nasubiri mwenye cm
 
Last edited by a moderator:
Iphone k2?????? ha ha hapo io ela lazima huawei ahusike
 
Ipo samsung galaxy pocket.ina warrant ya mwaka .nipe 150
 
Mkuu,

Nina bidhaa hapa na nina amini zitakufaa sana.

Hapa kuna hTC CHACHA MPYA (full accessories) inaenda kwa Tshs. 220,000. Kama utajiongeza kidogo basi hii ni simu nzuri kwa kumalizia na kufungulia mwaka.
 
mkuu siku hizi naona upo kwenye kutengeneza pesaa
 
Mi nna nokia E 72 niko ubungo maziwa karibu na majenerator ya aggreco contact 0758293598
 
Habari zenu waungwana!
Bajeti yangu ni laki 2 naweza pata cm nzuri. Mwenye cm nzuri kama vp Nokia e72, I phone 4 anipm apate pesa ya fasta. Note sitaki Huawei yyt Ile wala techno yyt Ile.
Nasubiri mwenye cm

Nita kupatia simu Saba kwa bei hiyo ni. Nokia ambayo ina tochi mbele ni pm nakuletea mpaka mlangoni mkuu
 
Habari zenu waungwana!
Bajeti yangu ni laki 2 naweza pata cm nzuri. Mwenye cm nzuri kama vp Nokia e72, I phone 4 anipm apate pesa ya fasta. Note sitaki Huawei yyt Ile wala techno yyt Ile.
Nasubiri mwenye cm

Nina iphone 4 njoo kwenye pm
 
huna ela unajfanya matawi..

eti ctaki tecno,alaf una ka laki mbili..

akil mgando wewe..
 
Back
Top Bottom