Ford explorer 1998 xlt inauzwa bei cheeeeeee........

saimon111

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
1,726
2,000
Kwanza ujue haitembei, hivyo inauzwa kama skrepa au kwa yule anahitaji kuifufua au kwa ajili ya vifaa.... Point ni kwamba inauzwa complete...

Utangulizi>>>

gari ni ford explorer xlt engine capacity 4000cc, gari hii ilinunuliwa japan na kuingizwa nchini mwaka 2008 ikiwa na km.99000.. Gari ilitumika kwa matumizi mbalimbali mpaka hapo ilipokata timing chain ikiwa na km. 160,000 pale maeneo ya maili moja kibaha ikiwa inatoka safari, nakumbuka ilikua mwaka 2012 december tukio hili lilipotokea....

Kwa nini inauzwa>>>>>

baada ya gari kuharibika, tulijitahidi sana kutafuta vifaa hapa bongo bila mafanikio na kuamua kuagizia dubai ambapo vifaa vipo bweree even though ni gharama.... Tuliagiza na kufunga lakini gari ikawa inawaka sema inakua na miss sana.. Halafu gia zikawa haziingii vizuri... Basi tumeangaika na mafundi kibao dar es salaam hapa hadi wengine toka mikoani lakini bila mafanikio... Mwisho wa siku ikawa tunatumia pesa nyingi kulipa mafundi, agiza vifaa bila mafanikio yoyote... Ndipo mwaka 2013 march ile tukaamua litoa garage na kurirudisha nyumbani, since then gari limepaki tu....

Hitimisho>>>>>

tumeamua kuuza kwa yule anaehitaji kufufua, kuuza skrepa au anunue akauze vifaa kimoja kimoja... Kwa ufupi gari ina kila kitu chake kama ilivyokuja na pia document zote zipo....


Bei... 5 m complete,... Nikitoa matairi yangu inakua 4 m..... Not negotiable.... 18052008(002).jpg

mawasiliano....0755252659...... If your interested,
 

saimon111

JF-Expert Member
Apr 5, 2012
1,726
2,000
kwa sababu since nilipoyaweka yakiwa mapya ikaenda safari kurudi ndo ikaharibika... So they are brand new tires.. infact ni DUNLOP, na bei yake unaifahamu mkuu....
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom