Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

viwanja ambavyo vipo karibu na bandari bagamoyo maeneo ya kitopeni vinauzwa kwa Matumizi Tofauti kwa mfano ku invest, makazi... n.k, kila square meter moja ni shilingi elfu nane na vimepimwa pia...
0 Reactions
33 Replies
7K Views
Nahitaji Cm aina ya Tecno P3, Au android yoyote inayo support wi-fi na hotspot nipo Mbeya Mjini. Price ni 80 0754078015
0 Reactions
10 Replies
2K Views
wakuu natafta hyo simu gallaxy pocket au galaxy min au gallaxy y duos... bajeti yangu ni sh 100,000 tu... mwenye nayo tuwasiliane whatsapp 0767879784.
0 Reactions
0 Replies
777 Views
Unaweza kupata website kama hii chini kwa Tsh 500,000 tu usambaratours.co.tz Features. Any CMS (you choose, Blogger, Wordpress, Joomla, Drupal, DotNuke) Custom made (sio kutoka template...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari wanajf! Nahitaji kusajki kampuni yangu ambayo itakuwa ni limited company, hivyo kutokana na usumbufu wa pale Brela naomba msaada kwa mzoefu wa masuala hayo. Note kwa yoyote utakaejitokeza...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
iPhone 3GS iko kwa Hali nzuri kwa bei 200,000 Michelin kwa 0717 022737 Ina 16 gb
0 Reactions
0 Replies
881 Views
HELLOW GUYS, any one with and selling a medium sized laptop (in terms of capacity and perfomance) for just daily skul tasks.... just PM available budget is 250K
0 Reactions
9 Replies
1K Views
[*=center]Kiwanja cha sqm 1,481 kinauzwakipo: Geza ulole kigamboni umbali: 17km kutoka feri ya kigamboni ni viwanja vipya vya mladi kimepimwa na kina offer kinafikika kwa urahishi Bei ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
kiwanja kinauzwa, kipo Wilaya ya Temeke , mkoa wa Dar es Salaam. ni umbali wa km 40 toka feri ya magogoni ,kina ukubwa wa sqm 1,383 kimepimwa , hati na offer bado hazijatoka , bei ni Tsh. 10m...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Naomba mnijuze bei ya sasa ya vifurushi dstv ikoje
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Daladala 5 zinauzwa , For more information 0713 95 92 90
0 Reactions
8 Replies
2K Views
wakuu samahani sana mwenye blackberry ili mradi isiwe 8520, nnakupa simu mpya ya kisasa ya TECNO T611 ina internet ya fast, nakupa elf 30 cash, bei ya hiyo tecno kko 70, mwenge 80 aliyetayari...
0 Reactions
2 Replies
934 Views
haya sasa mwaka 2014 ndio huoooo...kama unahitaji kalenda saafi yenye jina au picha yako au ofisi yako...nipigie fasta 0789 698 698..ndani ya masaa machache unapata kopi yako fasta ths 5000/= kwa...
1 Reactions
7 Replies
3K Views
Napenda kutangazabiashara yangu ya vipodozi kwa jumla, kwa wakazi wa njia ya Dar. me natokea Zambia nitakufikishia mzigo Ofisini kwako kwa Bei ya Jumla. Endapo utapenda kufanya biashara Na mm...
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Mm bwana richard nmeibiwa simu yangu aina ni galaxy S 2 19000 leo asbuh maeneo ya ufundi kurasin. Naomben msaada wenu wa kimawazo km mtawez kuniambia nn cha kufanya.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, Natafuta Full furnished apartment (Two rooms self contained) kwa ajili kufikia nitakapokuwa Tanzania kwa kipindi cha mwezi mmoja hadi miwili kati ya August/ September,2014. Apartment iwe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mambo zenu wakuu kama inavyosomeka hapo nahitaji blackberry curve 2 yoyote ile bei yangu ni 90,000/= nipo dar namba
0 Reactions
3 Replies
969 Views
Nauza DDR3 ya laptop. 2GB. Bei ni nzuri ya kuongea. Dar es Salaam. Alafu baadaye tunaeza ongea biashara ya wholesale ama 2nd hand.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Mteja wangu anahitaji vifaa vya gym used kama unavyo vifaa au kifaa ni Pm ukinitajia aina ya kifaa status yake bei yake. Mwenye complete set itakuwa vizuri zaidi
0 Reactions
2 Replies
1K Views
nahitaji smartphone ya haraka kwa bei poa kabisa ya laki moja..... preferably Huawei acsend au Samsung dual...screen 4inches na kuendelea... twende kazi
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom