Kwa wanaohitaji vipodozi vya Jumla kutokea Zambia

Kwa wanaohitaji vipodozi vya Jumla kutokea Zambia

pozzyfaza

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,453
Reaction score
268
Napenda kutangazabiashara yangu ya vipodozi kwa jumla, kwa wakazi wa njia ya Dar. me natokea Zambia nitakufikishia mzigo Ofisini kwako kwa Bei ya Jumla. Endapo utapenda kufanya biashara Na mm Tunaweza wasiliana kwa No. 0754078015. kwa wale wa miko minginepia nitaweza kufanya nao Biashara kwa Kuangalia nitakuwa na idadi gani ya wateja.kwa aliye tayar anaweza kunipigia ama kunitumia sms. email:pozzyfaza@yahoo.com
 
Okay bwana Bwana Steve Gimase. Nikiwa tayari tutawasiliana. Ila jua pia umesha uza dili kwa pilicemaana vile vipodozi vinavyolipa ndiyo vile walivyovizuia matumizi yake .lakini nitakutafut in person
 
Ok, nashukuru wangu Ila tutauza vipodozi halali,na natumaini tutafanya biashara itakayoweza panu kipato chetu,utakapo kuwa tayari tutataalifiana
 
Nami nasupply, ila vinavyo ruhusiwa tu. Kama ni mwuuzaji we ni pm orodhesha aina ya vipodozi nami ntakwambia bei, kisha tukifikia mahesabu tunafanya biashara.
 
Ok! Mkuu wewe unapatikana wapi na Unahitaji vipodozi vya aina gani. ambavyo unaona vinauzika ktk ofic yako
 
wanaohitaji mzigo Original Kutokea Zambia watapata kwa bei ya Jumla
 
Back
Top Bottom