Daladala 5 zinauzwa , For more information 0713 95 92 90

Daladala 5 zinauzwa , For more information 0713 95 92 90

joss1973

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2010
Posts
405
Reaction score
103
Daladala 5 zinauzwa , For more information 0713 95 92 90
 
Daladala 5 zinauzwa , For more information 0713 95 92 90
 
mkuu toa taarifa kamili kuhusu haya magari. Mfano bei, yanapatikana wapi, yanafanya kazi nia zipi ili mtu kabla hajakupigia awe na taarifa kamili
 
Yapo dar es salaam.yanakwenda karikoo -mwenge kupitia Tandale.yapo barabarani yanafanyakazi .bei 25mil .mazungumzo yapo
 
Hapana mkuu.kila gari lina bei yake .kuna la 25mil na la 23mil .na mazungumzo yapo
 
Hapana mkuu.kila gari lina bei yake .kuna la 25mil na la 23mil .na mazungumzo yapo
Mkuu Uko Juu sana,

Kwa 28Mil unapata Imported Nissan Civillian, sasa hizo namba T ### B_ _ ziko over 20Mil?
Kama utachukua kwa nije nizione nichague na nikague!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom