Natafuta Apartment full furnished maeneo ya mikocheni, Msasani.

Mvumbagu

Member
Nov 30, 2013
38
0
Habari,
Natafuta Full furnished apartment (Two rooms self contained) kwa ajili kufikia nitakapokuwa Tanzania kwa kipindi cha mwezi mmoja hadi miwili kati ya August/ September,2014.

Apartment iwe katika hali ya kuridhisha (Not too touristic)maeneo ya Msasani, Mikocheni, au Osterbay...

When you write me back please confirm apartment availability for the month of August or September,2014 with exactly rent cost. (Strictly no Brokers deals/ agent needed - Madalali hawahitajiki)
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom