Nmeibiwa simu

briiricky

New Member
Dec 24, 2013
2
0
Mm bwana richard nmeibiwa simu yangu aina ni galaxy S 2 19000 leo asbuh maeneo ya ufundi kurasin. Naomben msaada wenu wa kimawazo km mtawez kuniambia nn cha kufanya.
 

mchagahalisi

JF-Expert Member
Dec 2, 2012
617
500
Galaxy S2 ni 19100 na sio 19000.
Ushauri wangu ni kwamba tafuta simu nyingine hayo mambo kwa mjini ni kawaida.
 

chaUkucha

JF-Expert Member
May 28, 2012
3,384
2,000
kuna mtu mtaani kwetu kaibiwa macbook air kachanganyikiwa anaongea peke yake ushauri kuibiwa ni uzembe nunua simu nyingine!
 

SURUMA

JF-Expert Member
Mar 22, 2011
2,894
1,250
Mm bwana richard nmeibiwa simu yangu aina ni galaxy S 2 19000 leo asbuh maeneo ya ufundi kurasin. Naomben msaada wenu wa kimawazo km mtawez kuniambia nn cha kufanya.

Pole Mkuu. Kwa Jiji hili, hiyo andika HASARA YA MWISHO WA MWAKA na nunua simu nyingine.
 

ndupa

JF-Expert Member
Jan 25, 2008
4,405
0
Ungekua unatumia simu ya kawaida mda huu usingekua unaumiza kichwa...tena ungeahukuru wamekuibia ukanunua simu mpya!! Sasa simu ya gharama ona inakukosti!! Pole mkuu...jikaze na usinunue simu zenye gharama ya kiwanja tena!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom