Vifaa vya gym vinahitajika

Vifaa vya gym vinahitajika

gesselle

Senior Member
Joined
Nov 12, 2013
Posts
171
Reaction score
51
Mteja wangu anahitaji vifaa vya gym used kama unavyo vifaa au kifaa ni Pm ukinitajia aina ya kifaa status yake bei yake. Mwenye complete set itakuwa vizuri zaidi
 
Ungesema kama home gym au za biashara labda watakuelewa zaidi au?
 
Mie nahitaji vya home use sana sana dumbells na bench press
 
Back
Top Bottom