Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Jipatie Oil ya SYNTHETIC,Oil ya kisasa kwa magari model za killeo Oil hii itakupa km 15,000 za Mileage kab la ya kufanya service tena ukilinganisha na oil ziendazo kilomita 3,000 Utaokoa...
2 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari zenu.? Naomba kujua na kupata mawasiliano kwa kampuni yeyote inayojishughulisha na usafirishaji wa mizigo toka nchini Russia. Ninahitaji kusafirisha mahema kama 5-10,pia na sleeping bags...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Noah old model inaitaji iliyonyooka.mwenye nayo tuwasiliane.namba C au B za mwisho.bajeti 7,5mil mazungumzo yapo .tel 0713 95 92 90
0 Reactions
3 Replies
905 Views
Bei ni 200000 atakayehitaji anicheki kupitia 0654070066
0 Reactions
3 Replies
960 Views
Wakuu kwa mara nyingine tena! nilitamani niwape taarifa kuwa bado kuna mashamba mengi yanauzwa Arusha maeneo ya Mandela University (Kikwe & Nambala) bei zimepanda kidogo yaani 16 - 20m kwa EKARI...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Pata Ofa ya PuNgUzO la BEI ya KITABU. Pata kitabu cha COMMUNICATION SKILLS FOR ALL LEVES kilichoandikwa na E.B. Mahelo kwa ghalama ya 6,000.00 tu badala ya 10,000.00 kama ilivyokuwa awali. Ofa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
POWERHOUSE – PROVEN SUCCESS PLAN WITH GNLD PRODUCTS PIGA 0684210277 KWA MAELEEZO MWEZIWA KWANZA WEKEZATSHS TSHS 255,600/= UTAPATA KIT, TRE EN EN 4, LDC4, MIXING BOTTLE 3...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu me naomba mnipe msaad je hz gas za kupikia kam oryx,mihan &lake gas ni gas gan ipo cheap kwa matumzi ya nyumban nkimaanisha gas na mtung wake wanahtaj kunua ful 15kg
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Nauza line ya mpesa kwa sh.400,000 na airtel kwa sh.200000 nitext kwenye 0712488125 hazina usumbufu.
0 Reactions
0 Replies
926 Views
Wana JF, Kama kuna mtu analima strawberry, tafadhali naomba nikutembelee (hapa Dar), na kama una splits ninazoweza kupata. tafadhali niPM. Natanguliza Shukrani zangu za Dhati
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NAUZA SAMSUNG LAPTOP RAM 2GB, HDD 320, INA MIEZI 3 TU, INA GOSPEL SONGS ZPATAZO 6000, nakupa na begi lake bei 450,000 haya wakuu karibuni 0766988326, au kama una tecno phantom, au lumia 520,au...
0 Reactions
4 Replies
918 Views
Habari wakuu, Mzigo wa desktop umewasili juzi kuna desktop nzuri na bei ni za kutupa, ni mzigo genuine toka USA. Zinaanzia laki mbili na kuendelea. Tuwasiliane kwa 0655003510
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Nakodisha magauni ya harusi, ukikodi gauni unapata na shela, gloves, na ile net ya ndani kwa Cinderela style. Bei kuanzia 150,000/= hadi 400,000/= karibuni
0 Reactions
0 Replies
3K Views
simu imetumika ila ipo katika hali nzuri kabisa ina rangi nyeusi. kwa wasioifahamu iphone 4 ina sifa hizi. display simu hii ina kioo kidogo cha inch 3.5 lakini ni moja kati ya vioo bora kabisa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
  • Closed
Je unapata tatizo la simu yako kuisha charge ukiwa mbali na nyumbani au mbali na chanzo cha umeme(sehemu ya kuchajia) na je umeme unakatika nyumbani kwako unakosa sehemu ya kuchajia simu.....BASI...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wadau. Nina pikipiki aina ya T-Better ina rangi nyeusi cc 125 nambari T850B..., naiuza kwa shs Laki Saba Cash, haipungui hata kidogo. Sijawahi kuitumia kwa kazi ya Bodaboda, na iko fresh...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wakuu kama mwenye kiwanja maeneo ya tabata kisukuru au tabata kimanga. Ukubwa 25mX35m, offer Million 7 Mwenyenacho anipm.
0 Reactions
6 Replies
2K Views
mimi ni msichana wa miaka 20 nipo chuo kimoja cha biashara mwaka wa kwanza hapa jijini dar.nina malengo na ndoto za kutaka kuanza kumiliki biashara zangu maeneo ya chuo,na moja ya biashara hizo ni...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
km nlivyosema. bajet yang ni 140k. km vp nicheki fasta kwenye 0653205817
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habarai wana-JF Mimi ni kijana katika soma soma zangu nilikuwa na shauku kubwa ya kumliki website na blog ila nilianza kumliki blog (THANKXGODBLOG-OFFICIAL BLOG | Your Blog Description) tatizo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Back
Top Bottom