Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,229
- 44,239
simu imetumika ila ipo katika hali nzuri kabisa ina rangi nyeusi. kwa wasioifahamu iphone 4 ina sifa hizi.
display
simu hii ina kioo kidogo cha inch 3.5 lakini ni moja kati ya vioo bora kabisa ikiwa na resolution ya 640x960 inaifanya iwe na pixel per inch (ppi) 330. hivyo utapata display ndogo yenye quality kubwa.
camera
simu hii ina camera 5mp ambayo ina uwezo wa kufocus vizuri kabisa kwa kugusa kitu unachotaka kitokee vizuri. pia ina uwezo wa kuchukua video za hd (720p). simu hii pia ina camera ya mbele kwa ajili ya video calling.
perfomance
simu hii ina processor 1ghz single core cortex a8 na ram ya 512mb. unaweza ziona ni ndogo ila kwa ios zinatosha maana inarun very smooth. simu inatumia version mpya ya ios ambayo ni ios7 na pia hii simu ni ya 16gb ambazo gb 13 utaweza kuzitumia.
vitu nitakavyokupa na simu
simu ina cover lake ambalo hilo hilo kwa nyuma unaweza lifungua simu ikakaa kwenye meza incase unataka kuangalia video au kutumia simu bila kuishika.
kitu chengine utakachopata ni usb cable ambayo pia utaitumia kama waya wa kuchajia kwenye chaja za usb.
mawasiliano
nitumie pm au nitext whatsapp kwa namba 0715696962. namba hìi inaweza isipatikane ni vizuri ukatext.