Msaada wa mtungi wa gas ya kupikia

Msaada wa mtungi wa gas ya kupikia

Kv-london

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2014
Posts
2,892
Reaction score
5,083
Wakuu me naomba mnipe msaad je hz gas za kupikia kam oryx,mihan &lake gas ni gas gan ipo cheap kwa matumzi ya nyumban nkimaanisha gas na mtung wake wanahtaj kunua ful 15kg
 
Wakuu me naomba mnipe msaad je hz gas za kupikia kam oryx,mihan &lake gas ni gas gan ipo cheap kwa matumzi ya nyumban nkimaanisha gas na mtung wake wanahtaj kunua ful 15kg

Hazina tofauti .. zote zina gas aina moja ,, wauzaji na distributors ndo tofut... vivyo hivyo bei zake simply ni sawa ...!! nenda kwa mawakala wamejaa kila mtaa
 
Back
Top Bottom