Natafuta "Splits" (miche ya) za Strawberry.

Natafuta "Splits" (miche ya) za Strawberry.

GreenHouse

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
280
Reaction score
262
Wana JF,
Kama kuna mtu analima strawberry, tafadhali naomba nikutembelee (hapa Dar), na kama una splits ninazoweza kupata. tafadhali niPM.
Natanguliza Shukrani zangu za Dhati
 
Back
Top Bottom