Cheap Desktop computer zimewasili

Cheap Desktop computer zimewasili

baraka607

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2010
Posts
844
Reaction score
168
Habari wakuu,
Mzigo wa desktop umewasili juzi kuna desktop nzuri na bei ni za kutupa, ni mzigo genuine toka USA. Zinaanzia laki mbili na kuendelea.

Tuwasiliane kwa 0655003510

ImageUploadedByJamiiForums1391154552.658325.jpg
 
location plz!!!! au mtu akihitaji unatupa link tunazidownload then tukulipe kwa paypal maana technologia imekuwa .....matanngazo yako hayajitolezi ..
 
Sasa hizo cheap desktop zikoje????
cheap si neno nzuri bora ungesema affordable ningekuelewa.
Anyway all the best na cheap desktop zako
 
Toa specification zake pamoja na bei!acha ushamba
 
sooooooooo what ??? cheap as compared to what? So unataka tununue kwa kuwa ni cheap!? Mibongo bwana hivi hamuwezi kuiga hata wanachokifanya ebay? Kitu kama make, specs na price ni muhimu!!
 
  • Thanks
Reactions: JBN
sio kosa lake ndio kwanza anaanza biashara bila hata kupigwa msasa!
 
Sasa hizo cheap desktop zikoje????
cheap si neno nzuri bora ungesema affordable ningekuelewa.
Anyway all the best na cheap desktop zako

Sawa mwalimu Amu, hukosagi la kuongea. Am sure umenipata nini namaanisha. Ahsante.
 
Back
Top Bottom