Habari wadau.
Nina pikipiki aina ya T-Better ina rangi nyeusi cc 125 nambari T850B..., naiuza kwa shs Laki Saba Cash, haipungui hata kidogo.
Sijawahi kuitumia kwa kazi ya Bodaboda, na iko fresh inatembea hadi sasa. Kadi zake pia ntakupatia kwa atakayeihitaji. Ipo Dsm, kwa mawasiliano tumia: 0685-955811 au 0714 408238.