Mmh! Hiyo si ya fundi unataka kujenga nyumba ya aina gani? Kiwanja unacho? Au hiyo hiyo milioni 5 ni ya kiwanja piaHello sweethearts.
Kama wewe Ni fundi ujenzi,au una idea na kujenga,Bei za vifaa,kiwanja etc..njoo tupige story
...Nina million tano hapa.
Naplan kiwanja Cha 15/20
Halafu fundi anijengee Apo kitu Cha kuishi
..Eneo ninalotaka Ni boma ng'ombe Moshi.
Pepsi itaisha kabla ya kuifaidi,kapigie chingili/gongo🤣Njoonni Basiau ela yangu nikanywe peps
Ya umeme unipe, bado hujapata fundi ujenzi?St Dorcas
Acha kuvuta hiyo kitu sasaZote makaveliHadi kiwanja
😂Bado hujasemakwan rum moja sipat? Na kiwanja 10/15?
![]()
Kweli haitomalizaNtakupa,usiwaze..fundi ujenzi bado eti 5 m wanasema ndogo![]()