Chumba na sebule vinapangishwa bei chee

Chumba na sebule vinapangishwa bei chee

Ahlan

Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
32
Reaction score
5
Wanajf kuna chumba na sebule vinapangishwa yemen tandale.....kwenye kituo kabisa...ukishuka ndan ya gar unaingia getin kwako ndan.nyumba ina gypsum..ipo ndan ya fensi....ulinzi wa kutosha umeme na maji vinapatikana.kama unahitaji call me through 0658904648
 
shn ngapi?
 
Bei chee .... ndo shilingi ngapi???/
 
Weka bei mkuu ili wanaohtaji waangalie na mfuko! na sio bei cheee bei cheee!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom