WANAJF,
Naombeni msaada wa namna ya kupata mafuta ya SAMLI na ASALI MBICHI kwa hapa Dar es Salaam. Hakika nahitaji sana vitu hivyo lkn sijui nitayapata wapi kwa hapa Dar es Salaam. Kama kuna mtu ana taarifa za wapi nitayapata naomba anisaidie taarifa tafadhali.
Natanguliza shukrani.
JATELO1.