Nahitaji kununua noah

Nahitaji kununua noah

baba toa million kumi nikupe noah imesmamia ukuchaaaa ya 2004 plate no B
 
Tembelea cheki.com
Ila nami nina Suzuki carry mayai au maarufu ka kichwa kikubwa nauza tsh. 6.5 milioni tu

Ya mwaka 2001 ipo pouwa. Inapatikana kilosa moro 0683125001
 
hapana ndugu yangu lengo ni noah. Thanks
 
Tembelea cheki.com
Ila nami nina Suzuki carry mayai au maarufu ka kichwa kikubwa nauza tsh. 6.5 milioni tu

Ya mwaka 2001 ipo pouwa. Inapatikana kilosa moro 0683125001

kaka mbona nimeangalia cheki.com ila sijapata ya uwezo wangu
 
Huwez pata Noah kwa bei hiyo
Na ckushauli ununue kwa m2,
Tafuta 9M uagize kutoka SBT, 4.7M kununua, ushuru 4.3M, ya mwaka 2005 , nimemtolea m2 mwez jana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom