Habari wakuu,nauliza usafiri wa treni DSM to MWANZA bado upo nataka niende kwa BIBI nikamsalimie napenda kusafiri na treni
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Wakuu wana jf jana nilishindwa kuupload picha za gari ila gari yenyewe ndo hii ni ya mwaka 1998 ina cc 1450.kiujumla iko kwenye hali nzuri sana .Kwa mawasiliano zaidi ili...
NAHITAJI GALAXY S2,S3,S3MIN AU ANY EXPERIA with internal memory of 8gb.
remember i want the origional used ones. iwe katika hali nzuri yaani scratches zisiwepo. Uwe ulikuwa ukitumia protector...
karibuni wadau mujipatie sofa zilizotengenezwa kwa mbao nzuri na kitambaa chenye ubora wa hali ya juu.
Pia tunapokea oda
Kwa maelezo zaidi
nicheki ktk 0754545163.
Nauza simu ya sony xperia z, iko kwenye hali nzuri sana, haina michubuko. Imekuwa imported from abroad. Iko simu tu, haina accessories. Kwa mawasiliano nichek at 0717301520
KIMI DEV.CONSULT LTD, ni kampuni iliyosajiliwa na ina leseni : Pamoja na kazi zingine tuna Andaa Andiko (proposal) za matumizi mbalimbali mf. michanganuo ya biashara/miradi, grant proposal...
Gari inatembea na iko vema.
Ni 6 cylinder 1 G Kavu.
Kiukweli iko vizuri bodi lake, nimetoka kubadili rings, piston, berring, gasket, tyres, nozel. Kwakweli iko vema kwa safari yoyote nchini...
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia)
: Ipo karibu...
Habari wana Jamii, Mimi ni Kijana Mjasiriamali nauza KIWANJA kwa sababu kwa sasa naishi Arusha. Kiwanja kina ukubwa wa 21m x15m(62ft x 42ft), BEI 7M.Kiwanja kipo Mbagala Charambe -Mianzini(Mponda...
Kiwanja kina hatua Ishirini kwa Ishirini! Kipo barabarani kinafaa kwa biashara au makazi! Umeme upo hapo na maji yapo! Bei maelewano sitaki Dalali . Tel 0755 272776:embarassed2:
Wadau kwanza nawashukuruni kutumia muda huu kusoma kijitangazo hiki.
1.Nauza shamba langu liko wilaya ya mkuranga km 45 kutoka mkuranga mjini
2.Liko karibu na barabara ya lami iendayo mtwara au...