Wadau kwanza nawashukuruni kutumia muda huu kusoma kijitangazo hiki.
1.Nauza shamba langu liko wilaya ya mkuranga km 45 kutoka mkuranga mjini
2.Liko karibu na barabara ya lami iendayo mtwara au lindi au mikoa ya kusini
3.lina hati za serikali ya kijiji
4.Lina mazao ya kudumu kama mikorosho, na mazao mengine kama miogo na mahindi
5.Kutoka barabara ya lami mpaka kufika shamba lilipo ni dakika 4 tu
6.liko barabarani kabasa barabara ya mtaa iendayo baharini. km 30 kutoka shamba lilipo mpaka beach
7.Atakae taka kununua lote bei itashushwa sana
8.Atakae leta mteja, malipo yake yatakuwa ni asilimia 10 ya mauzo yote.
9.Lina faa kwa kujenga shule,kilimo, au kituo cha afya
10.Sababu ya kuliuza, mama mgonjwa sana anatakiwa kwenda india kimatibabu na mimi hela sina.
11.atakae taka wasiliana na mimi kwa namba hii 0763 706821 au email gemstoned.la_mjasiliamali@yahoo.com