subiri Kikwete amesema kazi yake kubwa ya mwisho ni kurekebisha reli ya kati ? sasa huku mwanza na Kigoma tuliahidiwa Meli sijui ndo imetoka hiyo au !Habari wakuu,nauliza usafiri wa treni DSM to MWANZA bado upo nataka niende kwa BIBI nikamsalimie napenda kusafiri na treni
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
subiri Kikwete amesema kazi yake kubwa ya mwisho ni kurekebisha reli ya kati ? sasa huku mwanza na Kigoma tuliahidiwa Meli sijui ndo imetoka hiyo au !