Wakubwa mimi nahitaji GX 110 (mark II grande). Sitaki kuhangaika na kuagiza. Kwa showrooms za kibongo nitapata kwa bei gani?
Alteza ni nzuri hebu tuweke wazi
nani kakwambia Altezza ndege ya ardhini, heheee:A S-confused1:,,Altezza inatumia engine ya kawaida sana '1G' 1980cc spidi km 180 kwa saa, 1G inayotumika hata kwenye Toyota Mark II na Taxi zingine za kawaida, hapo ni body tu uncle kwingine kote Chaser, Mark II!!. nyie ndio mnaokurupuka kununua magari yaliyopo kwenye fashion sasahivi mnakaa nayo miaka miwili yakishakuwa Taxi mnaona si kitu mnauza kwa bei ya hasara, sjui Altezza, Verossa, Subaru!!Chukua Ndege ya Ardhini,
Kitu Altezza,
T ### CE_
8.7Mill tu.
alteza ndege ya ardhini? una utani wewe, na VOLKSWAGEN GOLF GT 2005 model yenye speed 300KM/H utasemaje sasa, au kwa SUBARU IMPREZA WRX STI 2000CC yenye 360 BHP utasemaje,acha kukariri kijanaChukua Ndege ya Ardhini,
Kitu Altezza,
T ### CE_
8.7Mill tu.
nani kakwambia Altezza ndege ya ardhini, heheee:A S-confused1:,,Altezza inatumia engine ya kawaida sana '1G' 1980cc spidi km 180 kwa saa, 1G inayotumika hata kwenye Toyota Mark II na Taxi zingine za kawaida, hapo ni body tu uncle kwingine kote Chaser, Mark II!!. nyie ndio mnaokurupuka kununua magari yaliyopo kwenye fashion sasahivi mnakaa nayo miaka miwili yakishakuwa Taxi mnaona si kitu mnauza kwa bei ya hasara, sjui Altezza, Verossa, Subaru!!
=![]()
![]()
angalia video clip hii Altezza inakatwa na bwana mdogo Vitz!
pointi yangu ni kwamba vijana wengi wananunua altezza wakidhani wamenunua sports car wanatupigia makelele barabarani kukimbiza ovyo, mbona wenye mark ii au magari mengine yenye engine sawa na altezza wametulia zao wanaendesha responsibly, au ni body inayowadanganya..Kwahiyo ulitaka watu wanunue old-fashioned(504 Peugeot)? Au Toyota Vanguard ukiendesha unayo peke yako? Napingana na wewe ebu check ist bei yake ikoje,ebu check cresta bei yake ikoje? Swala la kuuza bei rahisi inategemea mtu kakwama vp? Ukinunua gari kwa bei rahisi haimaanishi ndio fasheni hzo zimekua tax! Hivi Gari gani utakayonunua mtanzania wakawaida uwe nayo peke yako? Vogue zenyewe zipo kibao sembuse altezza?
Wadau,
Nauza Toyota Altezza, ambayo imetoka bandarini tarehe 01st Nov, 2012
Gari hii ni nzuri na zifuatazo ni details zake.
YOM; 2001
Odometer: 65,000 km
CC: 1,980
Steering: Right
Transmission: Automatic
Fuel: Gasoline/Petrol
Color; Silver
Number of Doors; 4
Price;14.5Mil (Neg.)
Contacts; 0713 87 56 59/0713 67 49 91
View attachment 70251View attachment 70252View attachment 70253View attachment 70254View attachment 70255View attachment 70256
Chukua Ndege ya Ardhini,
Kitu Altezza,
T ### CE_
8.7Mill tu.
pointi yangu ni kwamba vijana wengi wananunua altezza wakidhani wamenunua sports car wanatupigia makelele barabarani kukimbiza ovyo, mbona wenye mark ii au magari mengine yenye engine sawa na altezza wametulia zao wanaendesha responsibly, au ni body inayowadanganya..
swala la bei ni kwamba bei zake mwaka jana na juzi zilikuwa juu sana, milioni 13au zaidi, mwaka huu hata milioni 8 ukiBargain vizuri unapata, mwakani bei sjui itakuaje. angalia mfano mzuri hili tangazo la november mwaka jana bei ilikuwa 14.5milioni lakini leo hii baada ya mwaka mmoja bei ni 8.7 milioni kwa gari hilihilo!! ''no offence ni maoni yangu tu''
Uliyeuliza GX110 kwa show room zinarange kati ya mill 13-15, ila ya mkononi nzuri kwa 10 Million unapata,
sijui wadau wengine mnasemaje,.......mtaalam Shakir?
Ila kwa maoni yangu ni gari ya ukweeeli sana
nani kakwambia Altezza ndege ya ardhini, heheee:A S-confused1:,,Altezza inatumia engine ya kawaida sana '1G' 1980cc spidi km 180 kwa saa, 1G inayotumika hata kwenye Toyota Mark II na Taxi zingine za kawaida, hapo ni body tu uncle kwingine kote Chaser, Mark II!!. nyie ndio mnaokurupuka kununua magari yaliyopo kwenye fashion sasahivi mnakaa nayo miaka miwili yakishakuwa Taxi mnaona si kitu mnauza kwa bei ya hasara, sjui Altezza, Verossa, Subaru!!
=![]()
![]()
angalia video clip hii Altezza inakatwa na bwana mdogo Vitz!
pointi yangu ni kwamba vijana wengi wananunua altezza wakidhani wamenunua sports car wanatupigia makelele barabarani kukimbiza ovyo, mbona wenye mark ii au magari mengine yenye engine sawa na altezza wametulia zao wanaendesha responsibly, au ni body inayowadanganya..
swala la bei ni kwamba bei zake mwaka jana na juzi zilikuwa juu sana, milioni 13au zaidi, mwaka huu hata milioni 8 ukiBargain vizuri unapata, mwakani bei sjui itakuaje. angalia mfano mzuri hili tangazo la november mwaka jana bei ilikuwa 14.5milioni lakini leo hii baada ya mwaka mmoja bei ni 8.7 milioni kwa gari hilihilo!! ''no offence ni maoni yangu tu''
Evo hii ndio inapiga chafya!!!?????