Mark ii gx baloon 4.4m

Mark ii gx baloon 4.4m

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Gari inatembea na iko vema.
Ni 6 cylinder 1 G Kavu.
Kiukweli iko vizuri bodi lake, nimetoka kubadili rings, piston, berring, gasket, tyres, nozel. Kwakweli iko vema kwa safari yoyote nchini.

VIBALI VYOTE HADI JUNE 2014.
Wasiliana nami 0754734009
 
Mkuu weka basi hata Details nyingine km
Make ya mwaka gani?
Reg, No .............
Kilometer ,,,,,,,,,,,,,
Model ,,,,,,,,,,,,,
na angalau upo Mji gani
maana unaweza jua gari ilihimili mikikimikiki gani rough road au Tarmac
ni ushauri tu maana GX zinaanzia 3.0m km ni zaidi ya miaka 10 nyuma
usisahau kuwasiliana na Tanzania Directory for Business, Entertainment & Travel Info
km ukiona tunasepa
 
will apload soon, japo inanigomea
 
Sawa mkuu, baloon hakika ni za miaka 10 na zaidi! 1993. T,,,ADD. Ilikuwa dar, kuanzia march iko Mbeya mjini.
 
Back
Top Bottom