Nyumba inauzwa - milioni 35

Nyumba inauzwa - milioni 35

cashmoney

Member
Joined
Dec 14, 2011
Posts
89
Reaction score
31
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia)
: Ipo karibu kabisa na kituo cha Msongola
: Ina eneo kubwa la wazi mbele na nyuma
BEI : Milioni THELATHINI NA TANO (35,000,000)

MAWASILIANO: 0654 743 825 / 0719 844 884

attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 
inafaa kwa hostel?

Perfectly, inafaa sana hasa kwa muundo wake na uzuri wa mazingira inayoizunguka nyumba (nyumba za jirani zimekaa kwa mpangilio na zinafikika kirahisi), ina maji, bado mpya, ina HATI, umeme na eneo la wazi kuongezea ujenzi wa chochote kulingana na mahitaji yako. Nipigie 0654 743 825 tuongee zaidi kama upo interested.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom