Nauza galaxy mega 6.3 used one.Simu ina light crack kwenye kioo lakini haiathiri utendaji wake.Simu haina tatizo lolote jengine wala scratch.bei 450000 only.pm for buznez...
if you are in need of beautiful and reliable house plan please consult me 0714 155854.
I also offer consultation concerning any building activity.
attached with some of my works
Wakuu natafuta shamba maeneo ya kigamboni.
- Eneo lolote kigamboni.
- Isiwe chini ya ekari tano
- isiwe zaidi a km 40 kutoka feri
Kama unafahamu ninavyoweza kupata tafadhali nijulishe pamoja...
Kwa yeyote, mwenye kujua mahali Dsm ninakoweza kupata Laptops kwa bei nzuri:
Aina; Dell inspiron
Bei; 250,000 each.
Idadi; 15
Pentium;1.8 _2.4ghz
Ram: 512/1gb
HDD: 40_160GB
Charger...
Location : Ipo Msongola , njia ya kutokea Mbagala Mbande kuelekea Mvuti
: Ina HATI, ina umeme, ina maji
: Ina vyumba kumi (mfumo wa nyumba za kupangisha - vitano kushoto vitano kulia)
: Ipo karibu...
Habari wana jf,
nauza pikipiki aina ya lifan nyekundu cc 150, haina tatizo lolote na inatembea. naitumia kwa matumizi binafsi. bei ya kuuzia ni shs 800,000/= cash. nichek 0714-408238/0685-734802.
Gari aina ya Toyota vitz naiuzwa TSH 6,500,000/=
Transmission manual gear Tano
Manufacturing year 1999
5 doors
Mileage 120000 km
Colour silver
Serious buyer ani pm naweka picha punde
Nauza gari yangu aina ya toyota vitz, cc990, km 100,000 imeingia tz toka japani 07/10/2012, bado mpya haina tatizo lolote, bei tsh 7m, serious buyer text/ piga 0685100909, 0655100909, ipo...
Range rover vogue model ya 2004 diesel.
Bei mil 60
+255717866628..
Ukipata mteja piga hizo number hapo juu
Utalipwa pesa ya udalali yenye hadhi ya gari
Habari waungwana. Nina HTC Legend mpya ( imetumika mwezi mmoja. Ina kila kitu chake yani Charger na earphone zake.
Bei ni 150,000
tuwasiliane 0715553166
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.