Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Nina gari Honda Odyssey ya 2004. Mitaa ya kusoma mafuta imekufa. Natafuta fundi/gereji. Mwenye kujua naomba msaada tahadhali. Asante
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu zangu, baada ya kuwapo na ugumu wa ajira kwa muda mrefu, nimeamua kufungua kampuni ndogo ya KITOHO TRANSPORTERS&GENERAL SUPPLIER ambayo imejikita ktk usafirishaji na usambazaji wa bidhaa...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
natafuta fundi wa cm nimkabidh ofisi maeneo ya tabata awe kijana,asiwe na family,mzoefu wa kazi. call me 0652740304 vgezo na mashart kuzingatiwa
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa muhitaji wa earth teser model ms5209 piga simu namba 0716900549
0 Reactions
0 Replies
814 Views
Habari wana Jf, natumaini mnaendelea vizuri na mipango ya kujenga maisha yenu na taifa kiujumla. Samahani napenda kuwataarifu kwamba kaa mkao wa kusoma lile gazeti lako BAABKUBWA MAGAZINE kila...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni $350 kwa mwezi. Kama unahitaji reply hapa.
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Dalali napokea order kwa wale wanao tafuta nyumba kwa kupanga maeneo ya sinza,kijitonyama,mwenge na mbezi beach. NiPM au text me 0752953860,Sema unataka nyumba ya namna gani na maeneo gani.
0 Reactions
28 Replies
22K Views
Habari zenu wakuu! Simu zinapatikana aina ya Samsung medium to high end devices. Agiza galaxy note 3, S2, S4, S5, grand. e.t.c. Simu zote ni original na unapata warranty ya miezi 24. Call text or...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Dell latitude e5420,core i5, 500gb HDD...4gb ram,on light keyboard,internal modem,... Laptop samsung model 510R(SlimShape), hdd 720gb, ram 6gb, core i5,spedy 2.6ghz,HD TrueVisionwebcam,internal...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Mfanyakazi wa stationery anahitajika. Sifa: Awe amemaliza Kidato cha 4+, awe amesoma kozi za computer au secretarial, awe na uzoefu kuanzia miezi 6. Mahali: Kisarawe Mshahara: Mapatano...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari Tanzania tupohapa kama wana CF kuwatangazia kuwa tumefungua mtandao wa kijamii huitwao CHATFASTA (Cf)unahusisha watu wote bila kujali Nchi kupata more infounaweza tembelea page yetu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
cannon ir 2016j used inauzwa ipo kwenye hali nzuri bei laki tisa.piga 0713967376 kwa biashara
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kiwanja kinauzwa tshs milioni tano (5m) kipo Kiluvya 1.5 km kutoka morogoro road,kina ukubwa wa 20m X 40m kuna maji na umeme karibu, kwa mawasiliano ni PM au piga 0765 123 906
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nahitaji mayai ya kuku wa kisasa treyi kuanzia 50.kwa bei ya 6000/=kwa treyi.nipo dar esalaam.no.0686-854242
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kiwanja kina ukubwa wa 20 kwa 16. Kilikuwa tayari kimeshaanza kujengwa nyumba. Yaani kina msingi wa nyumba ya vyumba vitatu, sehemu ya kulia chakula ( Dianing room ), sehemu ya kukaa kwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Isiwe chini ya ram 2 gb,...please kama unayo email me at jogoo@hush.ai
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari za jioni mabibi na mababu wa jukwaa hili......... Nauliza wapi ninaweza kupata Vipodozi vya Victoria's Secret kwa bei ya jumla kwa Dar Es Salaam. Na je nje ya nchi huwa vinapatikana wapi...
3 Reactions
63 Replies
8K Views
Hello, kama kuna mtu ana chumba cha ofisi na kuna uwezekano wa kushare na mtu mwingine afunguke hapa: Ofisi iwe kuanzia shekilango hadi Africasana Ofisi isiwe bize sana kila mara Ofisi...
0 Reactions
2 Replies
962 Views
Pata simple but professional logo kwa ajili ya biashara yako kwa bei nafuu kabisa kwa anaehitaji logo/Nembo awasiliane nami kupitia 0718164448
0 Reactions
105 Replies
10K Views
salaam, inahitajika injini mpya ya toyota landcruiser short chassis. Naomba kusaidiwa mahali inapopatikana na bei yake. Asante kwa ushirikiano wako.
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Back
Top Bottom