Nje ya box
JF-Expert Member
- Apr 11, 2012
- 241
- 251
Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Mbweni $350 kwa mwezi. Kama unahitaji reply hapa.
yaani gharama ya kupanga hiyo nyumba kwa mwaka ni sawa na kujenga hivyo vyumba viwili na choo cha kisasa
Nani kakuambia unaweza Jenga nyumba kwa milioni 6?
Usiwakatishe watu tamaa!
yaani gharama ya kupanga hiyo nyumba kwa mwaka ni sawa na kujenga hivyo vyumba viwili na choo cha kisasa