Natafuta wateja wa mayai ya kuku,tanakuletea popote ulipo

Natafuta wateja wa mayai ya kuku,tanakuletea popote ulipo

Joined
Apr 5, 2014
Posts
39
Reaction score
8
Ndugu zangu, baada ya kuwapo na ugumu wa ajira kwa muda mrefu, nimeamua kufungua kampuni ndogo ya KITOHO TRANSPORTERS&GENERAL SUPPLIER ambayo imejikita ktk usafirishaji na usambazaji wa bidhaa mbalimbali za majumbani, mashuleni na mahospitalini,

Kwa kuanzia tunasafirisha mayai ya kuku kupeleka Lindi, tunaofisi jirani na benk ya CRDB Lindi mjini, tunauza jumla na rejareja, hivyo kwa mwenye uhitaji au anaemfahamu mwenye uhitaji wa mayai popote nchini, eiza jumla au rejareja tafadhali naomba tuwasiliane kwa no 0787028688.

Kampuni ni changa tunaomba mtusaidie katika upatikanaji wa soko kwa maeneo yoyote kwani tunawateja kidogo Lindi, Mtwara na Kilwa, bado tuko katika kutafuta wateja zaidi,
 
Ni ya kisasa ndugu, kwa tray dar- es-salaam ni shilingi elfu saba, tunaposafirisha yakifika mtwara, lindi na Kilwa tunauza tray 1 shilingi elfu nane kwa jumla, ila reja reja ni shilingi elfu nane na mia tano.

Karibuni sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom