Natafuta laptop nina laki 3 kamili...

Natafuta laptop nina laki 3 kamili...

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
760
Isiwe chini ya ram 2 gb,...please kama unayo email me at jogoo@hush.ai
 
Isiwe chini ya ram 2 gb,...please kama unayo email me at jogoo@hush.ai

mkuu npe laki 2 na 50 nikupe laptop yng iko poa inapiga kazi fresh tu ila chakufa kama ww utakuwa ni mtu wa safari sana utanunua betri tu 7bu linakaa nachaji nusu saa.
npo dar kwa maelezo zaid picha njoo WhatsApp 0713943432
 
aina gani?
 
ipo hp 6535b,duo core@2ghz,2gb of ram,160gb of hdd,sim card slot,3hours of charge... in a mint condition...check me on +255654412703 ..
 
Samahan mtoa mada kwa kudandia uzi wako mimi pia natafuta laptop compaq presario cq60, iwe na RAM kuanzia 2gb, hd kuanzia 320 kupanda juu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom