Plot Agent
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 311
- 20
Dalali napokea order kwa wale wanao tafuta nyumba kwa kupanga maeneo ya sinza,kijitonyama,mwenge na mbezi beach. NiPM au text me 0752953860,Sema unataka nyumba ya namna gani na maeneo gani.
Masaki?
Nitakutafuta ngoja mkataba wangu nilipopanga uishe kwanza. Ila zile gharama zenu za mwezi mmoja muwe mnalipa kodi.
Wewe nakutafutia mabwe pande.
Nitakutafuta ngoja mkataba wangu nilipopanga uishe kwanza. Ila zile gharama zenu za mwezi mmoja muwe mnalipa kodi.
Wala si utani..haya mambo ya kijinga kenya wala hakuna mtu unampa laki sita hivihivi...inabidi tu walipe kodi.
Dalali napokea order kwa wale wanao tafuta nyumba au vyumba kwa kupanga maeneo ya sinza,kijitonyama,mwenge,kinondoni,magomeni,ubungo,mikocheni,Masani na mbezi beach. NiPM au text me 0752953860,Sema unataka nyumba ya namna gani na maeneo gani.

Mimi nahitaj house yenye room2 au 3 maxmum umeme na maji viwepo jiko na sebule pia parking ni muhimu sana
Note: naihitaji kuanzia mwez wa 6