Nahitaji chumba cha Ofisi cha kushare.

Nahitaji chumba cha Ofisi cha kushare.

IPILIMO

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
1,819
Reaction score
802
Hello, kama kuna mtu ana chumba cha ofisi na kuna uwezekano wa kushare na mtu mwingine afunguke hapa:
Ofisi iwe kuanzia shekilango hadi Africasana

Ofisi isiwe bize sana kila mara

Ofisi iwe na space ya kutosha kuweka japo meza na viti viwili.

Ofisi yaweza kuwa double rooms

Kuwe na umeme na milango ya aluminium

Kama mtu anayo, karibu anipe condition zake, nifanye maamuzi, lengo langu kupata mahali pa kuanzia shughuli za kampuni yangu changa ikiwa kama sub office, nimeanzia mkoani, baada ya mwaka nitakuwa nimepata ofisi yangu kamili.
Nipm
 
Ungesema uwezo wako wa kulipa pango ni shilingi ngapi, pia ungesema aina ya biashara yako, maana umetoa angalizo ofisi isiwe busy!!!!!! kama una uwezo wa kuchangia laki nane na nusu kwa mwezi service charge included niambie.
 
hahaaa! We noumer laki nane achangie Chief,ww unalipa sh ngap na umepanga kwenye jengo gan?
 
Back
Top Bottom