Kiwanja kinauzwa Kiluvya

Kiwanja kinauzwa Kiluvya

alovera

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
220
Reaction score
174
Kiwanja kinauzwa tshs milioni tano (5m) kipo Kiluvya 1.5 km kutoka morogoro road,kina ukubwa wa 20m X 40m kuna maji na umeme karibu, kwa mawasiliano ni PM au piga 0765 123 906
 
Ni jambo jema. Kimepimwa? Na Ni upande upi kama unaelekea Kibaha?
 
Ni jambo jema. Kimepimwa? Na Ni upande upi kama unaelekea Kibaha?

hakijapimwa, kipo upande wa kulia (kinondoni) kama unaenda kibaha,
N.B;kushoto mwa morogoro road ni kisarawe na kulia mwa morogoro road ni kinondoni
 
Kwa nini ulinunua na sasa unataka kuuza? Au cha urithi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom