Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Habari, nyumba inapangishwa mwanza maeneo ya Butimba mtaa wa Amani,ina chumba kimoja na sebule, maji na umeme ni Tsh.60000/= kwa mwezi. Yaani kwa miezi sita ni Tsh 360000/= tu. Ipo ndani ya fensi...
0 Reactions
46 Replies
8K Views
Subaru Forester inauzwa kwa bei poa kabisa Ni shilingi 20m tu Ipo Dar es Salaam Kwa maelezo zaidi piga 0698235368
2 Reactions
1 Replies
572 Views
Kiwanja nakiuza mil 5( maongezi yapo) Ukubwa wake ni hatua za miguu 25 upana, 25 urefu. Kipo Nyashishi nyuma ya Mwabebeya shule ya msingi, documents zilizopo ni karatasi ya serikali ya mtaa Bado...
0 Reactions
1 Replies
860 Views
Mambo vipi wakuu! Kwa anayehitaji kwenda Moshi kwa ajili ya kushiriki Kili Marathon, nitaondoka jioni ya tar 23 Ijumaa na gari binafsi, 5 seater, so nna nafasi ya watu 4! Kurudi jumapili jioni...
2 Reactions
5 Replies
513 Views
Taa ya mbele suzuki swift Taa ya nyuma toyota blade Taa ya nyuma toyota spacio MZIGO USED DUBAI Tunauza Spea za gari ndogo aina zote Kama vile Taa, Mabampa, Milango, Show, Mountings, Radiator...
0 Reactions
5 Replies
886 Views
Laptop [emoji335] Printers [emoji2774] Stationers [emoji3581] Nipigie simu +255659167416 Tufanye biashara Bei za Kizalendo
0 Reactions
6 Replies
654 Views
Kwa wapenda kilimo!! Naona youtube mashine hizi nyingi nyingi sana!! Je kama hizi ndogo ndogo kwa bongo zinauzwaje??
1 Reactions
5 Replies
775 Views
Room for Rent The following Kitchen & Living Room Bedroom, Bathroom & Toilet Others Cupboard Water Heating Ceiling Fan etc Room is for Bachelor's Only Msasani Beach Price Tsh 800,000 per...
0 Reactions
0 Replies
451 Views
Hizi ni nguo za mnadani za watoto kuna kiroba cha nguo 100 kwa elfu 50 Zinapatikana Bunju A Dar es Salaam Ukitaka kuja kuziona nitafute kwa namba 0684848801 NI NGUO ZA WATOTO TU ZA MTUMBA...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kama uzi unavyosema, nimehamishwa mkoa kikazi nauza vitu vyangu vyote vya ndani; sofa, friji, kitanda, magodoro, TV, meza ya TV. Vitu vyote vipo Kigamboni Kibugumo. Sofa 200,000 Tv solarmax 32"...
4 Reactions
53 Replies
4K Views
Location : Moshi, Kilimanjaro Bei 150000 Mawasiliano : +255621396850
0 Reactions
3 Replies
367 Views
Inashona, inadarizi, inapiga zigzag n.k Mashine imekamilika na pedal zake Bei : 200000 Location : Moshi , Kilimanjaro Mawasiliano : +255621396850 Karibuni
1 Reactions
7 Replies
581 Views
Nauza simu yangu kwa shida za kifedha. Details kama internal memory ni 64 GB RAM ni 3GB Bei 190,000 Niko old moshi ...Moshi mjini Mawasiliano 0756294771....karibuni wandugu .........
0 Reactions
0 Replies
511 Views
Mambo yakuzingatia Kufokasi ni msingi mojawapo muhimu sana sana kwenye uwekezaji wa ardhi na majengo. Bila kufokasi kwenye maeneo nitakayoainisha hivi punde haiwezekani kujenga himaya ya...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
TVS DKS 1.35m Maelewano yapo Piga 0628 880 380 Iko poa sana Maelewano yapo, wahi hii offer kuicheki bureeee Engine haijaguswaa.
0 Reactions
1 Replies
676 Views
Habari JF, Natafuta chumba chakupangisha maeneo ya Mbezi Beach (Mbuyuni, Africana, Makonde, Shule, Kogoo, Tank Bovu, Massana) au isipite Goba Kayuni ukienda na njia ya Goba Chumba kiwe ni kikubwa...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Nyumba inapangishwa kimara Korogwe Kwa mkua njia ya kuelekea Tabata, Ina vyumba 2 vyote master maji yana flow ndani Ina sebule kubwa na jiko Gypsum na tiles mpaka chooni Kodi 200,000 kwa mwezi...
0 Reactions
1 Replies
530 Views
Tangaza biashara au tangazo lolote halali la sauti lisilozidi dakika moja kwa shilingi 500 tu. Rekodi tangazo lako kwa simu au njia nyingine na uweke namba za mawasiliano kwa kuzirudia mara tatu...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Back
Top Bottom