Tushaingia mwezi wa wapendanao. Kama ulikua unajiuliza zawadi ya kuwapatia wapendwa wako, suluhisho liko hapa.
Jipatie mchoro halisi kwa ajili ya mpendwa wako mwezi huu wa valentine.
Napatikana...
Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika...
Habari wakuu me ni fundi bomba uliza swali lolote linalo husu plumbing nitakujibu kuanzia mifumo ya maji moto baridi,maji taka, Ujenzi wa chemba,Bei ya material ya plumbing n.k
Jaman natafuta wateja wa mchele, chenga na pumba laini za mchele.
Kwa yeyote mwenye kuhitaji anitafute kwa namba 0626169383, hii namba pia inapatikana whatsapp. Napatikana singida manyoni mjini
TECNO tunatarajia kuachia toleo jipya ya simu janja TECNO CAMON 18 hivi karibuni ambayo italeta ushindani mkubwa na simu kutoka kampuni ya Samsung. CAMON 18 Premier ina sifa kuizidi simu ya...
Habari,
Kalibu katika kampuni ya HD DECORATION ENTERPRISE tunahusika na Utengenezaji wa sakafu aina ya epoxy,tunauza material material ya epoxy, tunafanya kazi ya waterproofing na tunauza...
Wapi Unaweza Ukakutana Na TOYOTA IST kama Hii Toleo La Mwaka 2005 Yenye Engine Capacity Ya 1290Cc Huku Kwa Upande Wa Mileage Zikiwa 89,000+…Ni Bahati Kabisa Hii
Isitoshe Inauzwa Bei Ya Maombolezo...
Eid Mubarak wanajamvi
Tunatoa huduma ya kuangalia
-watoto pale muhusika atapokua amepata dharura, safari au Sababu nyingine yeyote
-wagonjwa na wazee Kwa Sababu yeyote Ile
Note; huduma zetu Ni...
Vitu vya salon ya kiume vinauzwa viko Goba kwa moga
1.Kiti cha kunyolea 220,000
2.sink la kuoshea 200,000
3.vioo viwili kila kimoja 40,000
4.mashine za charge moja 45,000 na mashine ya waya 20,000...
Wanabodi,
Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, nikitayarisha vipindi vyangu vya TV na Redio na kuvitangaza kupitia vituo mbalimbali vya Televisheni, Redio na kusambaza habari kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.