Dondoo Mbalimbali Muhimu kwa Kuhusu Betri ya Laptop..!!
1. Je unajua Kuwa Unaponunua Betri Mpya Yafaa Uichaji kwa Dk. 20 kabla ya kuanza kujaribisha? Maana Betri nyingi zinakuwa Hazina...
Habari,
Nina Muhogo Mbegu Ya Mkombozi Tani 70, Zipo Tayari Kwa Matumizi Ya Kusaga Unga Wa Muhogo. Location Biharamulo Kagera. Tuwasiliane Kama Unauhitaji Au Una mteja. Kiasi Cha Chini Kuchukua Ni...
Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa kipo bahari beach jijini dar es salaam wilaya ya kinondoni kiwanja kina ukubwa wa sqm 800 Eneo limepimwa Ila Bado hati nyumba ni ya kuvunja Kisha unaweza jenga...
Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora...
Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011
Iwe namba E
Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem
Price yangu ni milion Tisa
Niko dar es salaam
Kama kuna mtu anayo please ndm
Zhongtong Caesar Inauzwa
Namba B
Siti 60 2by2
Engine scania 93
Gearbox scania
Diff scania
Bei Tzsh 37,000,000/=
Gari inafanya kazi
Bima na latra vipo hai
Call,sms,whatsap 0759399805
Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat
Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat
Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina...
Habari
Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi.
Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya...
Karibu
Tunahusika na utengenezaji wa
*Mabango
*vipeperushi
*kadi za namba za simu
*Makava ya nyimbo
*Kadi za mialiko za kisasa
Njoo whatsapp Nehemix tz
Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)
🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi.
🔸ANAEJUA HESABU.
🔹Umri miaka 25 au zaidi.
🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au...
Samsung galaxy s22 ultra
Gb 512
Ram;Gb12
Unapewa na charger yake original
Simu haina tatizo lolote
Simu ni Original na ni nzima haina tatizo lolote.
Bei ni Tshs 1.5 millions
0689 150 968
0625...
Habari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya...
Kiwanja kizuri kinauzwa maeneo ya kifuru kisopwa ukitoka stand ya mbezi mbezi unashukia kifuru unachukua bodaboda au bajaji hadi site. Kina ukubwa wa 23m x 20m maji yapo yakutakata, umeme upo...
Dell imetumika kwa mwezi mmoja tu
Core i3 10th Gen
Hard disk 1TB
RAM 12GB
Battery: 3+ Running hrs
Display size: 15.6' FHD
Bei Tsh.480k
Mawasiliano
0621973591
Dsm.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.