plumber hydrogen
JF-Expert Member
- Feb 17, 2022
- 913
- 1,591
Habari wakuu me ni fundi bomba uliza swali lolote linalo husu plumbing nitakujibu kuanzia mifumo ya maji moto baridi,maji taka, Ujenzi wa chemba,Bei ya material ya plumbing n.k
Dar es salaam mkuuunapatikana wapi?