Habari, nauza TV yangu baada ya kubadilisha na kuwa na nyingine hivyo nimeona ni busara kupitia hii.
Brand: LG LED TV
Size: 43inch
Price: Tzs 350,000
Inafanya kazi vizuri sana with super clear...
NEW NEW NEW
HAINO TEKO COMBO
GERMANY [emoji629]
[emoji383] 120,000:TSH
[emoji390]0713579248
ORIGINAL FROM GERMANY
HIGHER QUALITY
UNAPATA SAA
UNAPATA MIWANI
WATER RESIST[emoji98]
*UNACONECT...
Heshima yenu wakuu.
Nina shida na second hand iPhone asap na budget yangu ni 650k so probably naweza kupata japo 11 pro max, and if I am fortunate enough basi brother au sister mmoja anaweza...
Habariii wanajamii, kama kichwa hapo juu kinavyojieleza. Kwa wale mnaohitaji kujifunza Web designing and development karibuni.
Kwa wenye Basics kidogo (HTML, CSS, JavaScript, PHP) - course...
TUNATENGENEZA FLAT TV ZOTE
TUNABADILI TAA
TUNABADILI CARD
TUNATENGENEZA PLASMA TV
LCD TV
TUNAFUNGA GPS KWENY TV YKO
TUNABADILI VIOO
TUNAUZA POWER SUPPLY ZA TV
MBALI MBALI
TUNAFUNGA AIR...
Kwema wana JF.
Kama kuna mtu yupo humu,anaefanya kazi Busweru wilayani,au ana mtu wake huko,naomba anisaidie namba tafadhali.
Kuna mtu namtafuta huko,na namba alokuwa akitumia haipatikani kwa mda...
Habari za mchana wakuu.
Mimi niko ukerewe-Nansio. Natafuta wafanyabishara wa nafaka wa jumla walioko jijini Mwanza.
Nafaka ninazotaka ni kama vile maharage, karanga, kunde, dengu, choroko n.k...
Habari za humu wana jamii,
Kuna duka moja la nguo na vitu vingine vya kıume lilikikuwa mtaa wa ZANAKI mjini Dar es salam limehamishwa/ kufunhwa naomba kujua anaefahamu wamehamia wapi au duka...
Habari ya majukumu wakuu. Ninahitaji mbuzi wawili (jike) wa maziwa.
Sina uzoefu hasa wa majina ya breed zake lakini itoshe kusema kuwa wawe ni wale wa kisasa ambao wanatoa maziwa kwa wingi. Kama...
Habari za hasubuhi ndugu wazazi pamoja na walezi.Kama una mtoto wako ambaye ni mzito au hata kama sio mzito lakini unahitaji asome (Home schooling au Home Tuition) huduma hyo inapatikana Tanzania...
Ndugu yangu NATAFUTA mwenye Uwezo wa Kupata Fly Ash kwa Ajili ya Ujenzi.
Nahitaji Kiasi cha Tone 40,000
Kwa Yeyote ambae anayo naomba Tuwasiliane kwa Namba hii 0715-011022
Uchaguzi wa Njia ya usafirishaji hutegemea mambo yafuatayo
- 1. Thamani ya mzigo
- 2. Ukubwa wa mzigo
Mizigo yenye thamani kubwa na midogo chini ya KG 2, safirisha kwa njia ya EMS - Ni hakika na...
Habari
karibu CHAMPION PAINT SHOP ni wauzaji wa rangi za nyumba, pia tuna mashine ya kuchanganya rangi mbalimbali Kwa kutumia kompyuta, BEI ZETU ni nafuu sana tunapatikana Mwenge-Lufungira
Karibu...
GPS TRACKING SYSTEM NI NINI
Ni mfumo ambao unawezesha chombo cha moto ambacho kimefungwa kifaa hicho kuweza kutoa taharifa mbalimbali kwa muhusika.
Mfano
---- Sehemu chombo kilipo
----...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.